Al-Iman Society of Northamptonshire

Login   |    Signup  |

Muundo

AMEER - Kuusimamia mfuko na kuuendesha kiutaratibu

 

NAIBU AMEER - Kumsaidia Ameer katika kuuendesha mfuko

 

KATIBU - Kuweka kumbukumbu zote za mfuko

 

NAIBU KATIBU - Kumsaidia katibu katika kuweka kumbukumbu

 

WAWAKILISHI WA MAJIMBO - Kuuwakilisha mfuko katika majimbo yaliyopitishwa

 

WAKUSANYAJI WA MICHANGO - Kukusanya michango ya waliojiunga kwenye mfuko

 

KAMATI YA MAADILI NA NIDHAMU - Kusikiliza malalamiko, rufaa na kuhakikisha nidhamu ya mfuko inafuatwa ipasavyo

 

TIMU ZA MAZISHI

 

AKINAMAMA NA AKINABABA - Kusimamia taratibu zote za mazishi tokea kuoshwa, kupambwa,